Je, unajua timu gani inashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi zaidi bila kufungwa barani Ulaya? Video hii inakuletea orodha ya timu 5 bora zilizoweka historia ya “Unbeaten runs” kubwa zaidi, kuanzia Juventus ya Antonio Conte hadi rekodi mpya na ya kipekee ya Bayer Leverkusen chini ya Xabi Alonso msimu wa 2023-2024.
Ndani ya video hii:
Bayer Leverkusen (Ujerumani) – Mechi 51 bila kupoteza!
Benfica (Ureno) – Utawala wa Eusébio.
AC Milan (Italia) – Ukuta wa chuma wa Fabio Capello.
Rangers (Scotland) – Domestic treble ya kihistoria.
Juventus (Italia) – Msimu wa dhahabu wa 2011-2012.
Tazama hadi mwisho kuona jinsi rekodi hizi zilivyowekwa na kuvunjwa!
#bayerleverkusen #xabialonso #juventus #acmilan #bundesliga #historiayasoka #sheriazagame #michezo #soka
source

Lete za World cup
Arsenal marche 49 anibten
Arsenal 2004
Yanga
Yanga mechi 49 ikaja kuvuliwa na ihefu
Uko ndugu
😂Unbeaten 49 ya arsenal
Safi sana kaka,,kila siku unakuja na rekodi mpya🎉🎉
Hiyo ya Leverkusen nimeshuhidia
Yanga chini ya Nabi…mechi 49 Unbeaten….AU NI KWA ULAYA TU?!
Safi sana kaka
Kocha wa boli Conte
Weka Arsenal hapo
Noma sana